Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alikuwa anawahudumia katika makundi mawili muhimu ya jeshi la Israeli wakati wa huduma yake katika vita kabla hajaanzisha makampuni ya teknolojia ya kiwango cha juu, hivyo kumfanya kuwa milionea kutokana na shughuli zake.
 
Sana bro,ishu za Unga ni hatari sana


Heshima yako bro?kwema hapo?unaendeleaje wewe na uwapendao hapo?

Oh! Asante mdogo wangu. Hapa salama kabisa. Tunamalizia malizia mbwembwe za Korona lakini kila kitu kiko salama. Natumaini hata kwako kuko salama japo najua moyo wako bado ungali na yale majeraha. Tumshukuru Mungu kwa yote bro [emoji1545][emoji1545]
 
FB_IMG_1597805098615.jpg
 
Katiba si ipo jamani ni ya kukung'uta vumbi tu na kuipeleka bungeni kurasimishwa. Kodi za nini tena?
Katiba iliyopitishwa iko poa, ila kwakuwa haitoi hakikisho la ushindi kwa baadhi ya vyama. wameikataa, wanataka mapendekezo ya tume ya Jaji Warioba yapitishwe kama yalivyo.
Sidhani kama itawezekana.
 
Back
Top Bottom