antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
😂😂😂
Sana bro,ishu za Unga ni hatari sana
Heshima yako bro?kwema hapo?unaendeleaje wewe na uwapendao hapo?
Anakumbuka shuka kumekucha [emoji16][emoji16][emoji16]Mabaharia kazi kwenuView attachment 1817521
MtakaJazia nyamaView attachment 1817620
Katiba si ipo jamani ni ya kukung'uta vumbi tu na kuipeleka bungeni kurasimishwa. Kodi za nini tena?Hivi kweli mko na utayari huo?View attachment 1817636
Katiba iliyopitishwa iko poa, ila kwakuwa haitoi hakikisho la ushindi kwa baadhi ya vyama. wameikataa, wanataka mapendekezo ya tume ya Jaji Warioba yapitishwe kama yalivyo.Katiba si ipo jamani ni ya kukung'uta vumbi tu na kuipeleka bungeni kurasimishwa. Kodi za nini tena?