Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1623729788661.jpg
 
wanajitafutia msongo wa mawazo, wanaachwa wenye ndoa zao sembuse hawara
ya nini kujichora kwa makaa haliyakuwa kalamu ya moyoni ipo
ukishamweka moyoni mwako hilo limeshatosha
==========
waweza jishebedua mbele ya hadhara ukijiona wapendwa wewe tu kumbe ni debe tupu hata ndege waweza litia kinyesi
View attachment 1818958
hili jamaa shuaini zake bahati nzuri mishikaki ya mitaan naiogopa sana bora kuchoma mwenyewe
 
wanajitafutia msongo wa mawazo, wanaachwa wenye ndoa zao sembuse hawara
ya nini kujichora kwa makaa haliyakuwa kalamu ya moyoni ipo
ukishamweka moyoni mwako hilo limeshatosha
==========
waweza jishebedua mbele ya hadhara ukijiona wapendwa wewe tu kumbe ni debe tupu hata ndege waweza litia kinyesi
View attachment 1818958
Duh
 
Back
Top Bottom