moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Uwanja unatisha
hili jamaa shuaini zake bahati nzuri mishikaki ya mitaan naiogopa sana bora kuchoma mwenyewewanajitafutia msongo wa mawazo, wanaachwa wenye ndoa zao sembuse hawara
ya nini kujichora kwa makaa haliyakuwa kalamu ya moyoni ipo
ukishamweka moyoni mwako hilo limeshatosha
==========
waweza jishebedua mbele ya hadhara ukijiona wapendwa wewe tu kumbe ni debe tupu hata ndege waweza litia kinyesi
View attachment 1818958
SafiiJiji la Dar es salaam 1910.
Hapa ni posta, ilivyoonekama wakati huo.
Picha ya chini muonekano wa mwaka 2020.
Kwa hisani ya mwanahistoria ,Mohamed SaidView attachment 1819089View attachment 1819091
SawasawaHuboresha tendo la ndoa.
Duhwanajitafutia msongo wa mawazo, wanaachwa wenye ndoa zao sembuse hawara
ya nini kujichora kwa makaa haliyakuwa kalamu ya moyoni ipo
ukishamweka moyoni mwako hilo limeshatosha
==========
waweza jishebedua mbele ya hadhara ukijiona wapendwa wewe tu kumbe ni debe tupu hata ndege waweza litia kinyesi
View attachment 1818958
👍👍Life is BEAUTIFUL View attachment 1818993