Watu wengi wamekuwa ni waoga wa kujaribu kufanya vitu ambavyo wanaona kabisa ndio ndoto zao zipo hapo.Ila hawapo tayari kuanza kufanya.Kwanin hawapo tayari kufanya kwasababu ya uoga wa kufeli,uoga wa kuchekwa na jamii inayowazunguka,uoga wa kutokubalika na uoga wa kuona bora waendelee kuwa wasindikizaji wa ndoto za wengine na sio kuanza kuishi ndoto zao.
Siku zote mtu mwenye ndoto na maono makubwa lazima awe na nguvu ya uthubutu ndani yake. Haijalishi kila mmoja anaekuzunguka anasema nin kuhusu ndoto yako lakini kwasababu wewe ndio uliyo ibeba unajua picha yote ya ndoto yako
Usiogope kabisa simama tetea ndoto yako na ifanye kwa bidii ili uweze kuacha alama katika dunia.Haijalishi jamii itakuangaliaje wewe angalia jambo moja tu kuww ndoto yangu inawezekana
Ugonjwa wa mafua unaweza kusababisha hali ya kupiga chafya mara kwa mara, kutokwa na makamasi mepesi au mazito puani, kikohozi, homa kali, na kuziba kwa pua.
Dalili za ugonjwa wa mafua hutegemea zaidi uwezo wa mwili wa kupambana na magonjwa kuliko uwezo wa virusi kushambulia nyama za mwili katika njia ya mfumo wa hewa.