Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

B moja acha uvunjwe najua utanitumia hata mil 50
kwenye billioni 1 nitawatumia millioni 30 kwa kila mmoja humu ndani
tupeni pesa yetu kwanza
billioni 1 yangu imeshikiliwa na wasukuma, wanyamwezi, wanyaturu, wahehe, wakarimajong, wanyatur, wadigo,

mama weee umasikini wa makusudi ndio huu
 
Je, unadhani kuishi na hali ya kutoa jasho kila wakati ni rahisi?'', Everlyne alijiuliza na kuongeza kuwa "Kila kukicha huwa ninapanga jinsi nitakabiliana na hali hiyo pindi jasho likianza kutoka... hakuna saa maalum ambayo ninaweza kusema jasho litatoka . Jasho linaweza kutoka asubuhi usiku au mchana na wakati mwingine hata mchana kutwa", Everlyne anasema
 
Kuishi na hali hii daima

Hali ya wasi wasi na uoga alioyoishi nayo katika wakati akiwa shule ya msingi alienda nayo hadi alipojiunga na taasisi ya mafunzo ya mawasiliano , ila akiwa pale alihisi kana kwamba changamoto zingekuwepo wakati wa kuajiriwa, kulingana na mwanamke huyu kutamani kuwa mwanahabari ila kutokana na hali yake ya jasho alihisi kukata tamaa na hatimaye kuachana na ndoto hiyo.
 
Mahangaiko ya kupata ajira yalikuwepo, ila wakati mmoja aliamua kufanya kazi ya kuajiriwa kama mhudumu wa mapokezi. Kama ilivyo kawaida na urembo aliokuwa nao, alikutana na wanaume waliomuhitaji kuwa nao kwenye mahusiano. Ila wale wanaume walipomkaribia na kugundua hali yake walionekana kukata tamaa na wengine kumkimbia.
 
Everlyne anasema kuwa amepata ujasiri wa kuzungumzia hali yake hii aliyoishi nayo kwa miaka 32 bila uoga na anajikubali alivyo, Ila hofu yake kuu imekuwa kwa bintiye mmoja ambaye pia tayari ameanza kuonyesha dalili za kuwa na tatizo hilo.
 
Ninapomtazama binti wangu ninaona haja ya kujitokeza kwa umma kuzungumzia ugonjwa huu wa kutoa jasho jingi kila wakati , kwani nimepita changamoto nyingi hadi nilipo hivi sasa . Ni katika harakati hizi mimi na baadhi ya Wakenya wanaoishi na hali hii tuliunda muungano wetu ambao ungetupa fursa ya kusaidiana na pia kupeana nguvu .'', anasema Everlyne .
 
huyo ndiye yule binti anayetoka jasho kwa masaa 24
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…