Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
huyu jamaa wa mavi ukute alitudondoshea jiwe. maana baada ya kujibiwa hivyo tu jiwe hali ikawa teteHila mwamba alikuwa jiwe kweli
Kama uwezi lipa Mia tano baki na mavi yako Nyumbani dah tumepitia mengi [emoji119]
Good news kwa kweli
Rip
bajeti kali,πππππhata hela haijatokahivyo basi nitakuongezea millioni 60
- bodi ya mikopo inanidai millioni 6
- nahitaji nyumba 3, moja unguja, mbili nitajenga pemba
- nahitaji usafiri
Itakuwa poa kabisaWafungue mashtaka dhidi ya Serikali kudai fidia ya kubambikiwa kesi na kuwekwa ndani Kwa miaka 9.
πππππππYangu nayo ipande dae nilianza na M 50
Yaani acha tu...Good news kwa kweli
Mahabusu miaka Tisa sio mchezo
Sijui Mambo ya fidia yamekaaje
Yaani Mimi sipo hapo basi Muungano uendelee tubillioni 1 yangu mutanilipa lini?
- mzee kijana wa kisukuma
- the happy mtangaji ovyo
- numbisa mlaji sato na sangara
- mzee mwenda kimya
- balozi wa sweden
- babu kijana
fidia ya nini, huko kutolewa kwao yalikuwa ni makubaliano kati ya seif na hussen mwinyi na ndio wakaingia ACT kwenye serikali.Good news kwa kweli
Mahabusu miaka Tisa sio mchezo
Sijui Mambo ya fidia yamekaaje
umaarufu wako sijaufahamuYaani Mimi sipo hapo basi Muungano uendelee tu
halafu munataka niwapandishie bonusbajeti kali,πππππhata hela haijatoka
Hapo sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivyo basi nitakuongezea millioni 60
- bodi ya mikopo inanidai millioni 6
- nahitaji nyumba 3, moja unguja, mbili nitajenga pemba
- nahitaji usafiri
Inawezekana heehuyu jamaa wa mavi ukute alitudondoshea jiwe. maana baada ya kujibiwa hivyo tu jiwe hali ikawa tete