Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Nina furaha kubwa kwa mafanikio haya. Ni sifa kwa taifa letu pia. Kwa hakika mafanikio yangu yametokana na wazazi kunipa ujasiri mkubwa hata kama walifahamu kuwa nitakumbana na changamoto za hapa na pale,” anasema Rawan akizungumza na JAMHURI.
 
Binti huyo amewasili kwa ndege ya Shirika la Ndege ya Qatar, na miongoni mwa waliokuwapo kwenye mapokezi hayo ni Mtanzania wa kwanza kupanda mlima huo, Wilfred Moshi, aliyepanda mwaka 2012.
 
"Sisi kama Watanzania tunamshukuru Mungu tumempokea mtoto wetu akiwa mwenye nguvu na afya. Niwapongeze wazazi wa Rawan kwa kumsaidia binti yao kufikia malengo yake, kwani tumeambiwa ameanza kupanda milima akiwa na umri wa miaka 12 tu,” anasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…