Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Manake hachezi tena mpira huyu,
Nilihisi hivyo pia. Atasikitika sana.
Kufungiwa hicho kifaa haimaanishi hata cheza tena,Netherland wana mchezaji mwenye tatzo kama la Eriksen,na tayali alishafungiwa kifaa hicho.. Na kwenye hizi fainaili za Euro zinazoendela hivi sasa anacheza,mfano game ya kwanza kabsa ya Netherlands, alicheza na kutolewa Dakika za 70..anaitwa Daley BlindDah! Saana
Ila kama ni mpunga kavuta mrefu sana, afanye kulea familia na mambo mengine.
He is too young to die.
Kufungiwa hicho kifaa haimaanishi hata cheza tena,Netherland wana mchezaji mwenye tatzo kama la Eriksen,na tayali alishafungiwa kifaa hicho.. Na kwenye hizi fainaili za Euro zinazoendela hivi sasa anacheza,mfano game ya kwanza kabsa ya Netherlands, alicheza na kutolewa Dakika za 70..anaitwa Daley Blind
Habari njema hii.Kufungiwa hicho kifaa haimaanishi hata cheza tena,Netherland wana mchezaji mwenye tatzo kama la Eriksen,na tayali alishafungiwa kifaa hicho.. Na kwenye hizi fainaili za Euro zinazoendela hivi sasa anacheza,mfano game ya kwanza kabsa ya Netherlands, alicheza na kutolewa Dakika za 70..anaitwa Daley Blind
Ni kweli Mkuu,hakuna kinachoshindikanaShukrani Mkuu for sharing this info. Technology imepiga hatua kubwa sana.
Sijaipatia muda bro, nilitaka imalizike yote halafu ndio niitizame,juzi kati nmeona imetoka part 2,nadhani sasa hivi ndio ntaiangalia kwa utulivu zaidiHabari njema hii.
Inakuaje hujaitizama Lupin? It was on the list u recommended.
Ni kama huku pemba wabara wanadhani pweza wamejazana, unaokota tu kama majani makavu chini ya mwembe
Oh hiyo hali ya hewa bhana, mvua irudiwe nione brifkesi😃😃[emoji2][emoji2]
Huku ni kwema kabsa TH, kulikuwa na hali flani ya mawingu mawingu, hakuna jua siku nzima..
Lupin sijaiangalia licha ya kusifiwa sana, nilikuwa namtizama Miss Mendoza kwanza, imeisha vizuri sana
One of my fav Worship song,