myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Enhee...Fahamu ukweli kuhusu kikosi cha wanawake pekee kilichokuwa kikimlinda Muammar Gaddafi
Enhee...Fahamu ukweli kuhusu kikosi cha wanawake pekee kilichokuwa kikimlinda Muammar Gaddafi
Kwenye kodi hakuna mchezo. Hata ukimbie nchi Wamarekani watakusaka po pote duniani kama umekwepa kodi zao. Hakuna maendeleo bila kulipa kodi. Tajiri mkubwa hakustahili kufia gerezani. Apumzike salama[emoji1545]
Mwendazake alikuwa na roho mbaya sana dhalimu yule. Bila Mwenyezi Mungu kumchukua Lissu asingelipwa haki zake za mamilioni ya shilingi.
Hahahaha..Handeni kila mkaazi ni mganga.
Tamaa, uvivu na roho ya kitapeli inawatafuna.View attachment 1828160
Rubisi🙄Mahali za utata zipo Kilimanjaro...View attachment 1828169
Naam..Zanzibar wameamuaView attachment 1828178
Corona hatari!