moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Naona hivyo maana wamemuunganisha na padri karugendoUzi umefutwa[emoji849]
Asante sana bro, Mungu ni mwema, acha tuendelea kupata madini ya Esta.. Maisha ni haya hayaNdiyo. Huku kwema bro. Nimegundua kijiwe kingine nashindaga huko siku hizi. Hapa nakujaga kuchungulia chungulia tu mara moja moja ili kuona tafiti za Esta zinavyoendelea. Mungu Aendelee kutulinda bro [emoji1545][emoji1545]