Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hi

Hizo ban inaelekea umezila sana duh

Mimi sijawahi kupata ban humu...

Ni tabia yangu ikivyo na maneno nayoandika yanajionyesha

Muache kutukana na kuandika uchafu.
Sijawahi kupata ban. Lakini pale kwenye jukwaa lenu la kampeni povu linalomwagika pale hupelekea ban zisizo na kikomo

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Numbisa hutaki hata kunionea huruma nikapata kumbato lako hata nusu dakika[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimekubali we jamaa unapenda kuonja kama mpishi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji121] [emoji121] [emoji121]

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…