Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Nyie wazee mnamikwara kishenziMimi mzee wa kibiti kwa jina nafahamika kama Kichwa Kichafu.
Pamoja na mzee mwenzangu wa ikwiriri anafahamika kwa ho chi minh.
Tunaomba radhi kwa tulie mkwaza kwa wakati huu.
Naomba mtuelewe tu na mtuzoee tu kiroho safi.
WAKATI HUO HUO NAPENDA KUTOA RAHI KWA MAZIZI MENGINE.
√Ambao bado wanaturushia mawe na kupinga upande wa ho chi minh kufanikisha lengo lake kwa mtoto tulie anza kupambana wiki sasa
Muendelee kujisajiri upande huu unaotoa tangazo maana bomoa bomoa limeanza na halitakuwa na huruma.
Mpaka sasa majina ni mengi ambao tayari wamejisajiri huu upande wa mtoa tangazo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vita tumeanza maana ulisema mikwara.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii picha ilinifurahisha sana jana...nani kadoda vile
Kwa niaba ya Cole napenda kusema sisi tupo upande wa uniq na babe S halisi si wakichina[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mazizi mengine yajiandae yaliyopita ai ndwele tugange yajayo.
carbamazepine[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Akili za usikuHabari za Usiku
Kila wakati nakuambia wewe mdogo kwangu huaminiAmen
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Karibu ndugu long timeHabari za Usiku
BulldozerT b Joshua
Gusa uone dogoMazizi lazima yaingiliwe kichwa,
Haiwezekani tukate tamaa wkt kila kitu kinaenda sawa.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Crystal clearMagnificent
Hamna aliyetingishwa kazi inaendelea kama tangazo lisemavyo.Narudia tena. Muwe makini naona leo mmetingishwa