myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
speed muda wa lunch
ho chi minh angalia huyu anajitafitia makubwaNa mikwara yake [emoji23] [emoji23]
Tunashukuru kwa pamojaHabari ya asubuhi kumekucha sasa TUOMBE tunakushukuru mwenyezi mungu kwa kutulinda usiku wote,sisi sio wa kamilifu ila ni huruma yako kwetu kutukinga na hila za muovu shetani.Tunaomba baba mkono wako wa baraka ukakae nasi ili siku ya tutende ya kupendezayo Ameeen........
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ANGALIZO
kuna watu hawana brek wao wana like hadi wana unlike! Valisheni pete vidole vyenu ni virefu
Naona umetoboa na huu uchawi aliotuletea JembekilloWapendwa ngoja sasa nipumzike japo saa moja ili akili ikae ki pilika pilika nawatakia asubuhi njema yenye likes za kutosha
Kacnia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa na maisha magumu na akina Kichwa watampa wakati mgumu sana. Nitajaribu kuongea naye...
Likes mbaya sana ila ndio basi zimenikamata[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kifungo cha hiari.Jana nilikuwa na wageni lakini muda wote macho na vidole vilikuwa kwenye simu.
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Teh teh teh
Haki ya Mola wangu walahidah!
Mchochezi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Signature yako mkuu iko tofauti sana na za wengine. Haiko italicized na Kiingereza hakijakaa sawa. iPhone 7 ni shida! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweliDaaah.
Nilijikuta nimeweka phone mfukoni kumbe nipo online jf.
Duuh hii hatari likes zitaniua. [emoji23] [emoji23]
We kweli sio muhengaNi nini hiyo shem?
Big up sana mkuuLeo ni siku nzur sana ya kupiga hela,,,aaaaaah i love Jumatatu
Mkuu kazi kaziNdio s niliahidi kulala saa moja tuu