Hahah shukran mkuu😀😀hapa nabofya likes kwako mpaka simu inasizi
Ndio atapendeza mbele ya wageni Boss wangu.Kichwa Kichafu. Vipi unahangaika na Jakitoo naona. Utampangiaje mke wa mtu kitu cha kuvaa?
Naona unamtafuta shimba kwa hali na maliUsiogope kichwa kuwa kichafu ila moyo ni msafi zaidi ya logal ya wasafi.
HahahaHapo ni kutumia elimu ya juu ya uninja kutoka bwa SHIVO (master) mshana jr
Nzuri bossHabari yako numbisa
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Hope ata huko kwako unaniona kweny avatar mpaka unajiskia homaHahah shukran mkuu
Simtaki kumwona Kichwa Kichafu popote karibu na nyumba yangu, au popote karibu nawe. Hata kuwasiliana naye tu sitaki. Kama ana shida yo yote nawe basi apite kwangu kwanza. Mharibifu huyu ukimdekeza utakuta kweli keshaharibu. Daima kinga ni bora kuliko kuponya mke. Ohoooo! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kichwa kichafu utakuja na huyu kupata lunch kwa shimba
Ninja mkuu yupo vizuriHahaha
Koromije. Jirani na kwa akina Bashite [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado sijapapata kwa shimba ni wapi
Mwana nzengo fanya kazi yako maana KICHWA anaushawishi kweliSimtaki kumwona Kichwa Kichafu popote karibu na nyumba yangu, au popote karibu nawe. Hata kuwasiliana naye tu sitaki. Kama ana shida yo yote nawe basi apite kwangu kwanza. Mharibifu huyu ukimdekeza utakuta kweli keshaharibu. Daima kinga ni bora kuliko kuponya mke. Ohoooo!
Acha vijana wa shule hawa wajifurahishe mkuu. Siku yako inaendeleaje?Hapo shimba atakuja..