Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uzuri mabinti wote hapa wameshamjua kuwa ni mtembea popote. Ni binti gani atakayekubali kuvamiwa na Kichwa? Huyo kwa kweli hata kama ni wangu nitamuacha aende tena kwa moyo mweupe kabisa kama theluji!Kichwa ametangaza kuvamia mazizi yote
Usilale maana jamaa ameniambia anakujaNimeshibajee hapaa! usingizi tu
Hivi karibuni sijamsikia akitoa matamko yake.Ninja mkuu yupo vizuri
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji121] [emoji121] [emoji121]Akiambiwa aache bangi bado atabisha!
gonga likes upate likes
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Koromije. Jirani na kwa akina Bashite [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heshima kidogo mkuu. Au umetimuliwa Masaki nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shilawadu umeanza
Ninja mbona tulikaribishwa tu hamna baya pale. [emoji23]Mwana nzengo fanya kazi yako maana KICHWA anaushawishi kweli
Hongera sana!Huku nyuma likes chache sana nimetumia zaidi lisaa kuweka likes
Hivi karibuni sijamsikia akitoa matamko yake.
Au amekwisha maliza marekebisho ya elimu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122]I dont fear man
Ni kweli kabisa ninja wanguNinja mbona tulikaribishwa tu hamna baya pale. [emoji23]
safi mkuu,,tunaendelea kugonga likes na kazi zetu kama kawaidaAcha vijana wa shule hawa wajifurahishe mkuu. Siku yako inaendeleaje?