Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshaanza kujadili siasa humu

Sisi wengine tupo katikat hatusifii wala hatupondi

Kwa mfano kwa upande wangu ninaamini katika udikteta uliobora kama ule wa gadaffi na baadhi ya wafalme

Siipendi siasa ya bongo kwasabu kila ukichambua jambo ni lazma watu wakuweke kwenye chamba fulani jambo ambalo ni ujinga wa kishabiki


Hakuna chama duniani ambacho kimewahi kuleta maendeleo duniani bali ni uweledi wa watu wenye nguvu ndio unaoleta maendeleo katika nchi

Full stop.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mmh wenye pesa sio wenzetu mkuu. Wanaachiwa kirahisi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…