antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kipa wa Lazio na Albania Thomas Strakosha, 26, anasakwa na vilabu vya ligi kuu. (Calciomercato - in Italian)
SawasawaMeneja wa Arsenal Mikel Arteta na wa Tottenham Antonio Conte wako kwenye orodha ya makocha 9 wa kuziba pengo la kocha wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino kama atafukuzwa. (L'Equipe, via Mail)