Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watasahau kabisa yote mema uliyofanya na kuanza kutafuta kila chafu na ovu ulilotenda, hata kama lilitendeka mafichoni. Kwa nini unataka kujiua ukitafuta kutambulika na kukubalika.
 
Unajua kabisa kuwa unafanyakazi zaidi ya wenzako ofisini lakini wao wanapata kupandishwa cheo au faida zingine za kikazi na sio wewe.
 
Iko mifano tele kama hii katika maisha ya kila siku. Je ndio inakufanya uwe na wivu? Hapana, kumbuka kuwa kila maisha ya mtu hutegemezwa na mustakabali wake utakavyokuwa, ambao ndivyo unavyompeleka yeye hivyo alivyo.
 
Kama umepangiwa kufikia hatua fulani hakuna atakayeweza kusimamisha. Kama hujapangiwa hivyo, hakuna atakayeweza kukusaidia kufikia pale pasipo pako.
 
Kama unadhani utaweza kushindana na mazingira na kuyabadilisha, kuna uwezekano mkubwa kuwa utafeli.
 
Hii ni njia bora yakugeuza bahati mbaya kuwa bahati nzuri. Kila siku tunakutana na matatizo, balaa, magonjwa, hofu na hata ajali ambazo ni zaidi ya uwezo wetu.
 
Back
Top Bottom