Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wekeza Muda Wako na Hisia Katika Mahusiano Ya maana

Hakuna chochote kibaya kwa kuingiliana na wengine na kukuza uhusiano nao. Lakini basi lazima uelewe kuwa furaha na urafiki vinapaswa kwenda pamoja. Ikiwa mtu hatakuchochea kufikia malengo yako na kuleta mabadiliko mazuri, basi hakuna maana kuwekeza wakati wako na hisia zako kwa mtu huyo. Katika hali kama hiyo, unaweza kuhisi upweke hata ikiwa umezungukwa na watu wengi.
Nakazia
✍️✍️✍️
 
Meneja wa Aston Villa Steven Gerrard anamfuatilia mshambuliaji wa Atletico Madrid Luis Suarez, 35, akiangalia uwezekano wa kumsajili nyota huyo wa kimataifa wa Uruguay. (Athletic - subscription required)
 
Barcelona itamgeukia mshambuliaji wa Chelsea na Ubelgiji Belgium Romelu Lukaku, 28, kama watashindwa kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Haaland msimu huu. (AS - via Star)
 
Meneja wa Arsenal Mikel Arteta na wa Tottenham Antonio Conte wako kwenye orodha ya makocha 9 wa kuziba pengo la kocha wa Paris St-Germain Mauricio Pochettino kama atafukuzwa. (L'Equipe, via Mail)
 
Manchester City inatarajiwa kuungana na Real Madrid na Manchester United katika mbio za kusaka saini ya mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski, 33, kama atakuwa sokoni mwishoni mwa msimu. (Fichajes)
 
Mshambuliaji wa Leeds United Raphinha, 25, anavivutia na vilabu vya Barcelona na Manchester United. (Sportitalia)
 
Back
Top Bottom