Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lukaku.. duh!!Barcelona itamgeukia mshambuliaji wa Chelsea na Ubelgiji Belgium Romelu Lukaku, 28, kama watashindwa kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Haaland msimu huu. (AS - via Star)