Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pilipili hoho(capsicum/sweet pepper) siyo kitu kigeni masikioni na machoni mwetu,tunaijua na huwa tunaitumia majumbani mwetu,wengi wetu tunaitumia kama kiungo cha mboga na wengine hutumia katika kutengeneza kachumbari/salads ili kuleta radha na pengine kuipamba kachumbari ionekane ya kupendeza na kuvutia.
 
faida za za kiafya za pilipili hoho katika mwili wa binadamu pia pilipili hoho huongeza kinga ya mwili. Hii husaidia mwili kupambana na magonjwa mbalimbal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…