A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Mar 17, 2022 #1,318,321 Kiungo wa Uholanzo Ryan Gravenberch, 19, yuko tayari kujiunga na Barcelona kutoka Ajax msimu huu wa joto. (Fabrizio Romano)
Kiungo wa Uholanzo Ryan Gravenberch, 19, yuko tayari kujiunga na Barcelona kutoka Ajax msimu huu wa joto. (Fabrizio Romano)
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 17, 2022 #1,318,322 Siku imeshika kasi..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 17, 2022 #1,318,323 antimatter said: Beki wa Uingereza Luke Shaw, 26, anapania kutia Saini mkataba mpya Manchester United. (90min) Click to expand... Aisee
antimatter said: Beki wa Uingereza Luke Shaw, 26, anapania kutia Saini mkataba mpya Manchester United. (90min) Click to expand... Aisee
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 17, 2022 #1,318,324 Jua, joto....
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,723 Reaction score 134,757 Mar 17, 2022 #1,318,325 myoyambendi said: Jua, joto.... Click to expand... Kabisa!
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,588 Mar 17, 2022 #1,318,326 Kgothalo said: View attachment 2153165 Click to expand... Bwahaha [emoji1787]
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,588 Mar 17, 2022 #1,318,327 Kgothalo said: View attachment 2153167 Click to expand... Good [emoji106]
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 17, 2022 #1,318,328 MOTO unaweza kufaidi au kuleta hasara
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 17, 2022 #1,318,329 Moto unaweza kuboresha au kuharibu mazingira.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 17, 2022 #1,318,330 Mioto mikubwa inaweza kusababisha uharibifu mkubwa sana. Na si rahisi kuzima mioto hiyo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 17, 2022 #1,318,331 Hali iliyotukia nchini Indonesia mwaka wa 1997 ni mfano mmoja unaoonyesha jinsi moto unavyoweza kusababisha hasara kubwa sana
Hali iliyotukia nchini Indonesia mwaka wa 1997 ni mfano mmoja unaoonyesha jinsi moto unavyoweza kusababisha hasara kubwa sana
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 17, 2022 #1,318,332 Mwaka huo mioto iliteketeza vichaka nchini humo, iliharibu sana ardhi, ikadhuru afya, na kusababisha hasara ya kiuchumi.
Mwaka huo mioto iliteketeza vichaka nchini humo, iliharibu sana ardhi, ikadhuru afya, na kusababisha hasara ya kiuchumi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 17, 2022 #1,318,333 Na moshi mbaya sana wa mioto hiyo ulisambaa katika nchi jirani—jumla ya nchi nane—ukawaathiri watu wapatao milioni 75.
Na moshi mbaya sana wa mioto hiyo ulisambaa katika nchi jirani—jumla ya nchi nane—ukawaathiri watu wapatao milioni 75.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 17, 2022 #1,318,334 Ripoti zinaonyesha kwamba watu milioni 20 waliugua ugonjwa wa pumu, ugonjwa wa kuvimba mapafu, magonjwa ya moyo, ya macho, na ya ngozi.
Ripoti zinaonyesha kwamba watu milioni 20 waliugua ugonjwa wa pumu, ugonjwa wa kuvimba mapafu, magonjwa ya moyo, ya macho, na ya ngozi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 17, 2022 #1,318,335 Katika nchi ya Singapore, uchafuzi wa hewa ulifikia kiwango cha juu sana. Jiji lilifunikwa na moshi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 17, 2022 #1,318,336 Mkazi mmoja aliyeogopa kutoka nje ya nyumba yake yenye hewa safi alilalamika hivi: “Sote tu wafungwa nyumbani mwetu.” Ukungu wa moshi ulikuwa mzito sana siku fulani hivi kwamba watu hawangeweza kuona miale ya jua.
Mkazi mmoja aliyeogopa kutoka nje ya nyumba yake yenye hewa safi alilalamika hivi: “Sote tu wafungwa nyumbani mwetu.” Ukungu wa moshi ulikuwa mzito sana siku fulani hivi kwamba watu hawangeweza kuona miale ya jua.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 17, 2022 #1,318,337 Mwaka uliofuata wa 1998, wakazi 8,000 wa British Columbia, Kanada, walilazimika kuhama makwao kwa sababu ya moto mkubwa uliokuwa ukisambaa kwa kasi
Mwaka uliofuata wa 1998, wakazi 8,000 wa British Columbia, Kanada, walilazimika kuhama makwao kwa sababu ya moto mkubwa uliokuwa ukisambaa kwa kasi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 17, 2022 #1,318,338 Moto huo ulikuwa mojawapo ya mioto elfu moja hivi iliyoteketeza misitu nchini Kanada mwaka huo—mioto 115 kati yake haingeweza kuzimwa pindi fulani
Moto huo ulikuwa mojawapo ya mioto elfu moja hivi iliyoteketeza misitu nchini Kanada mwaka huo—mioto 115 kati yake haingeweza kuzimwa pindi fulani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 17, 2022 #1,318,339 Moto mmoja uliozuka kaskazini mwa Alberta, Kanada, uliteketeza msitu wenye ukubwa wa eka 90,000
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 17, 2022 #1,318,340 Mkazi mmoja alisema hivi: “Ulikuwa kama mlipuko mkubwa wa kombora la nyuklia. Wingu kubwa jeusi la moshi lilitanda juu ya eneo lote.”
Mkazi mmoja alisema hivi: “Ulikuwa kama mlipuko mkubwa wa kombora la nyuklia. Wingu kubwa jeusi la moshi lilitanda juu ya eneo lote.”