Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Antonio Conte hataondoka Tottenham msimu huu, anasema mlinda mlango na nahodha mfaransa Hugo Lloris. Gwiji hilo linaamini muitalia huyo sio wale "wanaokata tamaa mapema katika mazingira yoyote". (Evening Standard)
 

Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Yes. He will make a way to get us through our adversity. He ALWAYS does [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kama kuna vitu vigumu ambavyo watu wengi hawapendi kukubali na kuvipokea kwa wepesi katika maisha,basi miongoni mwa vitu hivyo ni hiki kinachoitwa changamnoto
 
Zipo changamoto ambazo tunazipitia katika maisha,na wakati mwingine tunatamani kuzikimbia ili zisiendelee kuwepo mwaishani mwetu lakini hatupaswi kuzikimbia kwa sababu zimekuja bila taarifa kwako kukutambulisha wewe ni nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…