Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama ulisoma hii hadithi darasani, uhenga unakukaribia!
3b121865ac5a58c3cc9208440c9fcc95.jpg
 
Halafu vijana wakikuibukia humu unang'aka ooh mi mtu mzima. Kumbe...

Tafadhali nifahamishe mtu kupendana na mpenzi wake awe haswa mume au partner wa milele...kikomo ni umri gani au baada ya miaka mingapi!?

Nimeshangaa sana swali uliloniuliza shaaaaa,

Najua umanitafutaga kuniponda kiaina nimeshaona damu yako na yangu humu haziendani, ila nimekula kobisi tu mdogo wangu wewe.
 
Back
Top Bottom