Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pengine tutakuja kuhamia huku
0db40943ebb6d868633de70e83defcfa.jpg
 
Oy Boss wa uzi nimetitahidi kukumbusha watu rule za uzi ila wanaona kama nawachora ila ukweli ndio huo.

Mkuu sambaza likes hizo japo wachache wanavamia uzi nakuona utaratibu mgumu.

Ila ndio unatuweka pamoja.

24days tu toka tumeanza na uzi leo wachache wanaona issue kugawa likes kwa nduguyo.
Lazima tuusimamie..kuna watu anataka kuviuruga..dawa yao kuwataja hapa..gonga likes ndio mbiu yetu
 
That my Queen sina la kusema kwa kweli nawapongeza wote kwa kufanikisha hili nawapenda sana na my Queen nampenda sana anything we can do kufanya hii siku kuwa spesho one nasema anything naomba maoni yenu
Tunataka tafrija ya kumpongeza malkia

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
imekuwa ikinisumbua kwa hili tatizo la sreen overlay detected na change permission settings.

Hiki kitu kinanizuia hata kudownload kitu chochote kupitia google na hata apps zingine haziwezi kufunguka kwa sababu itakwambia screen overlay detected and change permissions setting.

Kwaiyo hata raha ya simu saivi siioni mana hili tatizo linakwamisha kila kitu unachotaka kufanya hasa kuweka/kudownload kitu kipya au kufungua document na hata kutumia app unayoipenda. Mbaya zaidi nimetembelea google na youtube kujua linatolewa vipi lakini sijapata mafanikio.

Nimeshindwa kupiga screen shot kwa ajili yenu kwa sababu nayo inagoma kwa iyo ikabidi niwape tu maelezo kwa ujumla juu ya hili tatizo.

Noamba mwenye uelewa na hili tatizo au ambae amekumbana nalo na akaweza kulisolve, basi naomba anisaidie njia ya shortcut ya kulisolve mana mpaka sasa naichukia simu kwa hili tatizo.

Asanteni na mwenye msaada anakaribishwa.
 
Back
Top Bottom