Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tutaendelea kuwakumbusha wenye shingo ngumu japo no wachache.

Mhhh!

BmP1TYhCcAI14uv.jpg
 
Tafadhali nifahamishe mtu kupendana na mpenzi wake awe haswa mume au partner wa milele...kikomo ni umri gani au baada ya miaka mingapi!?

Nimeshangaa sana swali uliloniuliza shaaaaa,

Najua umanitafutaga kuniponda kiaina nimeshaona damu yako na yangu humu haziendani, ila nimekula kobisi tu mdogo wangu wewe.
Hapana Coco. Usichukulie siriazi kivile dadangu. Sina bifu na wewe wala mtu ye yote katika uzi huu au JF hii. Utani hata hivyo unaweza kupitiliza. Ndiyo maana huwa nasema mara kwa mara kuwa kama mtu anaona ninamkwaza basi anasema tu najirekebisha mara moja na tunasonga mbele. Tukiwa na mabifu humu uzi huu utakosa maana yake. Ni likes, likes, likes, likes tu basi. After all, hatujuani jamani!
 
Back
Top Bottom