Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana Coco. Usichukulie siriazi kivile dadangu. Sina bifu na wewe wala mtu ye yote katika uzi huu au JF hii. Utani hata hivyo unaweza kupitiliza. Ndiyo maana huwa nasema mara kwa mara kuwa kama mtu anaona ninamkwaza basi anasema tu najirekebisha mara moja na tunasonga mbele. Tukiwa na mabifu humu uzi huu utakosa maana yake. Ni likes, likes, likes, likes tu basi. After all, hatujuani jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…