Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chumvi ni muhimu ili kuzuia uzarishaji wa kuzidi wa mate katika kiwango kwamba yanatoka nje ya mdomo wakati umelala, kitendo hiki cha kutoa mate (udenda) wakati umelala ni dalili ya upungufu wa chumvi mwilini.
 
Chumvi ni muhimu katika usafishaji wa makohozi mapafuni na maji yaliyogandamana hasa kwa watu wenye pumu, ikiwa inakulazimu kusafisha koo kila wakati, ni dalili kuwa umepungukiwa chumvi.
 
Bila shaka kila mmoja wetu anapenda sana kuitumia chumvi, na hii hutokea hasa pale anapokula chakula chenye uhitaji wa chumvi
 
CHUMVI
Kikemia chumvi ina madini ya sodium chloride ambayo huitajika sana mwilini. Na madini hayo husaidia kwa kiwango kikubwa katika mwili wa mwanadamu kama ambavyo nitaeleza hapo chini:
 
CHUMVI
Kikemia chumvi ina madini ya sodium chloride ambayo huitajika sana mwilini. Na madini hayo husaidia kwa kiwango kikubwa katika mwili wa mwanadamu kama ambavyo nitaeleza hapo chini:
 
Husaidia katika kutanuka na kusinyaa kwa misuli (contract and relax of muscles), ambapo misuli hiyo husaidia kwa kiwango kikubwa usafishaji wa damu na maji endapo itakuwa haijaithiriwa na kiwango cha chumvi kwa wingi.
 
Back
Top Bottom