Tambua kwamba huwezi kumpendeza kila mtu hata ufanye jambo zuri kiasi gani "hata ukichezea maji utaambiwa unatimua vumbi", yaani ilimradi tu wakupinge. Itazame hatima yako
Katika maisha yako jifunzi kumsikiliza kila mtu, na jifunze kutoka kwa kila mtu kwasababu, hakuna mtu anayejua kila kitu katika maisha haya. Ila kila mtu anajua kitu fulani, tofauti na unachokijua wewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.