Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati Mungu anaumba dunia giza lilitanda juu nchi, biblia inasema Roho akaja juu ya giza Mungu akasema na iwe Nuru, ikawa Nuru, Mungu akaona Nuru ni njema.

Hivyo bhas kwenye giza lolote unalopitia mwachilie Roho wa Mungu na Nuru iliyo njema itatokeza kwa Jina la Yesu.!
 
NATAKA TUKUMBUSHANE HIKI KITU
.. MAANA WENGI TUMEJISAHAU KUA TUNA MWISHO..
JAMANI WAPENZI KUNA KIFO
kifo ni fumbo kubwa sana ambapo hakuna mtu hata mmoja aliye hai anajua fumbo hili,ni fumbo ambalo Mungu amewafumbia wanadamu,na utajua fumba hili pindi utakapo kufa.
 
Hangaika kufanya vitu vidogo vizuri ili siku ukipata vitu vikubwa teyari una uzoefu. Pilau kilo moja lililoiva lina thamani kuliko pilau hilo kilo 10 Bichi na lililopikwa vibaya. Focus on doing better things.
 
wanaokupenda, wanaokuwazia mema na wako tayari kukusaidia wakati wote wa shida na raha pamoja na kwamba wapo wengi wanaoonekana kukutenga na hawapo tayari kukusaidia.

DAIMA KUMBUKA KUWA WAPO WANAOKUTHAMINI na WATASIMAMA daima na wewe. Mpendwa wangu kama upo kwenye hali hii
 
KAMWE usijaribu kufikiri kuwa MUNGU amekuacha na hakujali tena. Usijilaumu kwa kuwa Mwenyezi Mungu Bado anakuwazia mema. Badala ya kulaumu endelea kumuamini kwani hutoa siku na saa aliyopanga yeye.
 
Unapofakari unaona hakuna ubishi kuwa sio rahisi kwako kuinuka tena. Masikini we!! Unajiuliza maswali na kutoa majibi mwenyewe. Kama ni kulia umelia sana mpaka machozi yamekauka. Umeomba na kumlilia sana Mungu na hakuna mabadiliko yeyote.
 
Acha kuhangaika na mtu anakuona hujitambui
Acha kuhangaika na mtu anakuona huna point kwake.
Mwambie Mungu akupe heshima ya kuonekana bora kuliko alivyokuchukulia
Sema Mungu mimi ni wako niliwapa nafasi wanadamu lakini wamekuja kuni chambua katika mapungufu yangu na kuniumiza
 
sala zako mlalamikie mja wako utaona jinsi utavyokua
Na amani na kutua mzigo ulio nao.. Mungu pekee ambaye ukiongea naye kwa njia ya maombi, urasikia unasikilizwa na mambo yako yanafanyiwa kazi
Hebu acha kuhangaika na mwanadamu.. Acha kuhangaika na mtu hajibu sms zako
 
unakuwa unafanya mazungumzo na Mungu. Muda huo kelele za matatizo ambazo zimejaa kichwani kwako unakuwa umeziweka pending. Muda huo hata shetani mwenyewe anakuwa anakuonea wivu maana anajua fika umefanya maamuzi sahihi kuzungumza na Mungu wako.
Omba dua,
 
Back
Top Bottom