Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hata kama umeshafika mbali kiasi gani, ukijua umepotea njia rudi kuliko kupotea jumla! Kuanza upya si ujinga. Bora uanze upya ufike salama kuliko kuendelea usifike
ya kilimo😂😂😂😂Hii weather[emoji3059][emoji3059]
Aisee...SawasawaMaisha Ni Ya Ajabu Sana,Unazaliwa Bila Idhini Yako Mwenyewe,Kingine Cha Ajabu Sana Sasa Ni Kuwa Hujui UTAKUFA Lini,
Usidhani Umwema Sana Kuwa Hai Leo,Ni Neema Ya MUNGU TU,
Ishi Matendo Yaliyo Mema,Maana Hujui Utakufa Lini Na Saa Ngap
Kweli..Ulimwengu ni kama soko ambapo wapo wanaopata faida na wengine kupata hasara