Qatar yenyewe imefuzu moja kwa moja kutokana na kuwa mwenyeji wa mashindano hayo ikiungana na Korea Kusini na Iran, Japan Saudi Arabia. Iran jana imeichapa Lebanon 2-0, Syria na Iraq zikaenda sare ya 1-1 huku UAE ikiilaza Korea Kusini kwa bao 1-0.
Droo ya ratiba ya mashindano hayo makubwa kabisa ya soka duniani itafanyika April 1 2022, ikiwa ni miezi saba kabla ya kuanza kwa mashindano hayo Novemba 21, 2022.
Hata atakuwa mashindano ya kwanza kufanyika msahriki ya kati na yakiwa ya mwisho yakayotumia mfumo wa sasa wa kushirikisha timu 32, kabla ya kuanza kwa mfumo mpya utakaoshirikisha timu 48 kuanzia fainali za mwaka 2026.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.