myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Amani na utulivu..
👍Mtu mmoja alisema "siri kubwa ya kufeli katika maisha ni kujaribu kumpendeza kila mtu".
KweliShangilia Mambo Yote Lakini Sio Mateso Ya Mtu
TrueJitahidi Walau Kufikia Saa Mbili Usiku Uwepo Nyumbani Chukua Biblia/vitabu vya Dini Pitia Pitia Vifungu Kadhaa Pata Chakula Cha Usiku Kisha Pumzika,Kwakufanya Hivyo Unajiepusha Na Hatarii Mbalimbali Usiku Unamambo Mengi Sanaa.
👍Hata kama umeshafika mbali kiasi gani, ukijua umepotea njia rudi kuliko kupotea jumla! Kuanza upya si ujinga. Bora uanze upya ufike salama kuliko kuendelea usifike
😂Haijalishi umri umekwenda kiasi gani kama una ndoto kichwani amka ukaitekeleze kwa sababu umri ni namba tu na uzee hisia tu. Haijalishi mashavu yamelegea kiasi gani ukitimiza ndoto watayabusu tu
UWE NA WAKATI MWEMA BARAKA ZA MUNGU ZIKAWE NASI SOTE KWA KADRI YA FADHILA
Duuh!Umekaa zako huna stress unaamua kufunga safari kwenda kwa baby wako bila taarifa kama surprise, unamkuta yupo na baby wake wanalishana chakula mdomo kwa mdomo kama makinda ya njiwa
Kabisa!HATA KAMA KUNA MTU ANAKUKATISHA TAMAA LEO PAMBANA IPO SIKU UTAMPELEKEA ZAWADI KUTOKA KWENYE HICHO AMBACHO ANAKUAMBIA HUTAKIWEZA.
Salaam 🖐️Salam kwenu wote..
Amen 🙏Mungu atupe siku njema..