Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata hivyo wataalamu wa afya wamebaini ya kwamba uwepo sodium ambayo ipo kwenye chumvi ndiyo chanzo kikubwa cha kuasababisha ugonjwa huo.
 
Kwani tafiti zinaonesha ya kwamba binadamu akitumia chumvi kwa asilimia 40 ya uzito wake ana uwezo wa kupunguza kupata shinikizo la damu.
 
Nini kifanyike:
Muhumu kuzingatia kuwa kiwango salama cha chumvi kwa mtu mzima hutakiwa kula chumvi kiasi cha 500 milligram ambayo ni sawa na robo ya kijiko cha chai kwa siku ili kuweza kuepukana na matatizo yatokanayo na ulaji wa chumvi kwa wingi.
 
Kuna aina za michezo nyingi sana katika jamii hivyo basi kama mpenzi wa michezo utakuwa unazitambua baadhi ya aina hizo za michezo, kwa mfano mpira wa miguu, mpira wa pete, riadha.
 
Sababu za michezo kiafya na kiakili.
Michezo imeonekana kuwa mizuri kwa ajili ya ubongo. Kwanza kabisa michezo ni njia ya pekee ya kuufanya ubongo kuchangamka na kufanya kazi vizuri, kama mwanadamu ukijitahidi angalau ukatengane muda mchache wa mazoezi utakuwa ni mwenye afya na nguvu katika maisha yako. Pia michezo ina faida nyingi katika maisha. Zifuatazo ni faida chache za michezo
 
Unakuwa na afya : ukiwa kama mwana michezo ndani ya jamii kwanza unakuwa na afya ya kutosha katika mwili wako, na wafanya mazoezi wengi ukiwaangalia tuu macho lazima utafikiria kwamba uyu ni mwana mazoezi bila kipingamizi chochote kile, kwasababu mili yao inakuwa naukakamavu wa kutosha na afya tele.
 
Ni vigumu kupata maradhi mara kwa mara : pili kama wew ni mwana mazoezi au michezo utakubaliana nami katika hili kwamba mtu yeyote anae fanya mazoezi ni vigumu sana kupata maradhi ya mara kwa mara kwasababu ya mazoezi anayofanya
 
Mwenye furaha muda wote : pia ukiwa mwana maozezi muda wote unakuwa nafuraha tu, ni wachache sana huwa hawana furaha lakini asilimia kubwa ya wanamichezo akili inakuwa inatulia hivyo kwao michezo ni furaha pia.
 
Michezo ni ajira : pia faida nyingine ya kuwa mwana michezo inaajiri watu, baadhi ya wana michezo duniani wamefanya michezo hiyo kama ajira kwao na inawalipa vizuri mfano mzuri ni mchezaji wetu wa mpira wa miguu mmbwana samatta kwake michezo ni ajira nzuri na inamlipa vizuri sana, hivyo basi kama wew una kipaji na mchezo wowote kifufue na ipo siku utafurahia kuwa mwana michezo ulimwenguni kote
 
Kucheza inatufundisha kutumia mawazo yetu. Pia kucheza michezo yeyote tunakiwa kuwa wabunifu wa mambo, kwa kutumia fikra zetu katika maisha. lakini ubunifu wa kucheza inaendelea ili kuboresha roho.shukrani kwa chanzo hiki cha habari
 
Back
Top Bottom