Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya sare ya nyumbani ya bila kufungana, Tunisia imesongwa mbele kwa bao la ugenini ililolipata kwenye mchezo wa awali.
 
Nchi zingine zilizofuzu kutoka bara la Ulaya mpaka sasa ni pamoja na Ubelgiji, Ufaransa, England, Serbia, Uholanzi, Hispania, Croatia, Switzerland
 
Brazil ikikamilisha ratiba kwa kuzaba 4-0 Bolivia, Argentina ikaenda sare ya 1-1 na Ecuador, Chile ikalala 2-0 dhidi ya Uruguay.
 
Qatar yenyewe imefuzu moja kwa moja kutokana na kuwa mwenyeji wa mashindano hayo ikiungana na Korea Kusini na Iran, Japan Saudi Arabia. Iran jana imeichapa Lebanon 2-0, Syria na Iraq zikaenda sare ya 1-1 huku UAE ikiilaza Korea Kusini kwa bao 1-0.
 
Hata atakuwa mashindano ya kwanza kufanyika msahriki ya kati na yakiwa ya mwisho yakayotumia mfumo wa sasa wa kushirikisha timu 32, kabla ya kuanza kwa mfumo mpya utakaoshirikisha timu 48 kuanzia fainali za mwaka 2026.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…