Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UKIWA huna hela hata ukiona Meza ya matunda yakuuza, roho inatamani, Ila akili inakwambia
'Huwa hayaliwi hayo Mjinga wewe, utakufaa!

Basi unajifariji na kusema kweli hayaliwi

Wewee kula matunda kwa afya mapapai hayaliwi vipi?
 
Nalimngoja BWANA kwa saburi, Akaniinamia akakisikia kilio changu. Akanipandisha toka shimo la uharibifu, Toka udongo wa utelezi; Akaisimamisha miguu yangu mwambani, Akaziimarisha hatua zangu.”
Zab 40:1-2 SUV
 
Back
Top Bottom