Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dark-gray-walls-and-couch-in-matching-hues-create-a-lovely-contemporary-home-theater-53989.jpg
 
Ukienda kariakoo unaona maduka ya nguo yamendikwa "Usiende Sinza" ukienda Sinza utaona maduka yamendikwa "Usiende kariakoo" Sasa twende wapi?, mbona mnatuchanganya sana
 
Sehemu yoyote kwenye maisha yako ukiamua kuondoka, ondoka kwa amani Aga vizuri, Kuna kurudi.
Hii ni sawa na utoke kwenye kimtaa then ukute kikundi cha watu kimekaa kinapiga story za hapa na pale, wewe ujifanye uko busy upite bila salamu, ghafra ile njia uliyokuwa unatarajia inatoka hadi mwisho ukute walishaifunga, na ni mgeni huo mtaa... Kurudi kuwaanza wale jamaa uliowapita bila salamu huwa ni mtihani unaweza kujiona una nuksi hiyo siku, na wale jamaa ndio msaada pekee
 
Back
Top Bottom