Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii ni sawa na utoke kwenye kimtaa then ukute kikundi cha watu kimekaa kinapiga story za hapa na pale, wewe ujifanye uko busy upite bila salamu, ghafra ile njia uliyokuwa unatarajia inatoka hadi mwisho ukute walishaifunga, na ni mgeni huo mtaa... Kurudi kuwaanza wale jamaa uliowapita bila salamu huwa ni mtihani unaweza kujiona una nuksi hiyo siku, na wale jamaa ndio msaada pekee
Situation mbovu sana inakua aibu balaa
 
Unapoanza kuona mafanikio Hapo Ndipo Ambapo Maadui zako Watatengeneza Kila Njia Wakuangushe Chagua Kinga Moja Kati Hizi Mbili. 1st. Mungu. 2nd. Shetani. Zote Hizo Ni Kinga Kwahiyo kuhusu Usahihi na kwa Wakat Gani ni sahihi kuzitumia, Utajua Mwenyewe.
 
Back
Top Bottom