Kiungulia huwasumbua sana watu wengi, Kiungulia husababishwa na asidi zipatikanazo tumboni. Hivyo maziwa (ambayo si mgando) hutengeneza utando maalumu tumboni ambao hupambana na asidi hizi.
Tambua kwambwa huwezi kumpendeza kila mtu hata ufanye jambo zuri kiasi gani "hata ukichezea maji utaambiwa unatimua vumbi", yaani ilimradi tu wakupinge. Itazame hatima yako