Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
Utasikia wanaume wenye mvuto ni wenye vipara Hahah, kipara gani tena??Noti!! Noti!! Noti!!Hakuna mwanaume aliye fanikiwa akawa mbaya, Hela upofusha watu.
😂😂😂😂😂😂Utasikia wanaume wenye mvuto ni wenye vipara Hahah, kipara gani tena??Noti!! Noti!! Noti!!
Situation mbovu sana inakua aibu balaaHii ni sawa na utoke kwenye kimtaa then ukute kikundi cha watu kimekaa kinapiga story za hapa na pale, wewe ujifanye uko busy upite bila salamu, ghafra ile njia uliyokuwa unatarajia inatoka hadi mwisho ukute walishaifunga, na ni mgeni huo mtaa... Kurudi kuwaanza wale jamaa uliowapita bila salamu huwa ni mtihani unaweza kujiona una nuksi hiyo siku, na wale jamaa ndio msaada pekee
Duh aiseeeBaadae patawaka moto humu ndani,,maisha ya JF kama unatazama sinema flani hivi ambayo kama hautaki ifike mwisho
Wakati ungesalimia ili jambo dogo sanaSituation mbovu sana inakua aibu balaa
KabisaaaWakati ungesalimia ili jambo dogo sana
Heeeh [emoji28][emoji28][emoji28][emoji125][emoji125][emoji125]Maendeleo sio tu kujenga nyumba nzuri, kununua gari kali, Hata kudate na msukuma nayo ni Maendeleo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kwenye uzi wa makapukuDuh aiseee
😂😂😂😂😂😂😂😂 carbamazepine njoo uoneHeeeh [emoji28][emoji28][emoji28][emoji125][emoji125][emoji125]
Haaa kumbe nakosa vingi ngoja niende maana nimebanana hapa nakula likes tuNenda kwenye uzi wa makapuku
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] unamuita na carba,ishakuwa kesi hii [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carbamazepine njoo uone
Haha sawa sawaHaaa kumbe nakosa vingi ngoja niende maana nimebanana hapa nakula likes tu