Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 31, 2022 #1,320,721 Ukubwa unahitaji umakini ndio maana peni haina ufutio.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 31, 2022 #1,320,722 Nigendako said: Haha sawa sawa Click to expand... Duh nimeona aiseee
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 31, 2022 #1,320,723 Mishale yote inayo tuchoma inatoka kwa wale tuliowaamini na KUWAPENDA, tena INATUCHOMA, Kwa mumivu makubwa kwasababu HAITOKEI mbali.
Mishale yote inayo tuchoma inatoka kwa wale tuliowaamini na KUWAPENDA, tena INATUCHOMA, Kwa mumivu makubwa kwasababu HAITOKEI mbali.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 31, 2022 #1,320,724 Watu wengine wala sio marafiki zako, Ni vile tu wanaogopa Kuwa Maadui zako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 31, 2022 #1,320,725 UKIONA MTU ANATENGENEZA PESA KULIKO WEWE TAFSIRI NI KWAMBA ANA CONNECTION NYINGI ZAIDI YAKO. USIMCHUKIE JITAHIDI UAMBATANE NAE UJIFUNZE KITU.
UKIONA MTU ANATENGENEZA PESA KULIKO WEWE TAFSIRI NI KWAMBA ANA CONNECTION NYINGI ZAIDI YAKO. USIMCHUKIE JITAHIDI UAMBATANE NAE UJIFUNZE KITU.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 31, 2022 #1,320,726 UKIONA MTU ANATENGENEZA PESA KULIKO WEWE TAFSIRI NI KWAMBA ANA CONNECTION NYINGI ZAIDI YAKO. USIMCHUKIE JITAHIDI UAMBATANE NAE UJIFUNZE KITU.
UKIONA MTU ANATENGENEZA PESA KULIKO WEWE TAFSIRI NI KWAMBA ANA CONNECTION NYINGI ZAIDI YAKO. USIMCHUKIE JITAHIDI UAMBATANE NAE UJIFUNZE KITU.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 31, 2022 #1,320,727 Kama hutajijengea tabia ya kuwa na subra ukawa ni mtu wa malalamiko tu kila muda basi marafiki zako na ndugu zako walio fanikiwa utaendelea kuwaona kama ma snitch kila siku.
Kama hutajijengea tabia ya kuwa na subra ukawa ni mtu wa malalamiko tu kila muda basi marafiki zako na ndugu zako walio fanikiwa utaendelea kuwaona kama ma snitch kila siku.
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 31, 2022 #1,320,728 Jioni njema mlio kwenye daladala na bajaji ..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 31, 2022 #1,320,729 Jioni njema wakulima na wafugaji..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 31, 2022 #1,320,730 Mamalishe jioni njema kwenu..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 31, 2022 #1,320,731 Mliotoka kazini jioni njema..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 31, 2022 #1,320,732 Mnaoendelea na kazi jioni njema..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 31, 2022 #1,320,733 Walezi wa familia jioni njema...
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 31, 2022 #1,320,734 Mliokuwa sokoni,dukani,saluni jioni njema..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 31, 2022 #1,320,735 Jioni njema waalimu na wanafunzi wenu...
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 31, 2022 #1,320,736 Mlio safarini, safari njema na ya amani...
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 31, 2022 #1,320,737 Munhu awaponye wagonjwa wote 🙏
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 31, 2022 #1,320,738 Mungu atupe afya na uzima 🙏
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 31, 2022 #1,320,739 Jioni inaaga...
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 31, 2022 #1,320,740 Usiku umeingia kwetu...