antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kumekucha
Amen 🙏Mungu atupe afya na uzima 🙏 🤲
Amen 🙏Mungu atupe siku njema 🤲🙏
👍Unapoanza kuona mafanikio Hapo Ndipo Ambapo Maadui zako Watatengeneza Kila Njia Wakuangushe Chagua Kinga Moja Kati Hizi Mbili. 1st. Mungu. 2nd. Shetani. Zote Hizo Ni Kinga Kwahiyo kuhusu Usahihi na kwa Wakat Gani ni sahihi kuzitumia, Utajua Mwenyewe.
Aisee!Mishale yote inayo tuchoma inatoka kwa wale tuliowaamini na KUWAPENDA, tena INATUCHOMA,
Kwa mumivu makubwa kwasababu HAITOKEI mbali.
👍Pigana sana kutafuta hela, umaskini unadhalilisha mno.