ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Jua linachomoza na matumaini mapya..
Aamina
Jua linachomoza na matumaini mapya..
Amani na utulivu..
Asubuhi njema [emoji2772]
Haijalishi umri umekwenda kiasi gani kama una ndoto kichwani amka ukaitekeleze kwa sababu umri ni namba tu na uzee hisia tu. Haijalishi mashavu yamelegea kiasi gani ukitimiza ndoto watayabusu tu
UWE NA WAKATI MWEMA BARAKA ZA MUNGU ZIKAWE NASI SOTE KWA KADRI YA FADHILA
Aisee.....Mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, 26, anaweza kutumiwa na Manchester United kama suluhu katika mpango wa kumsaini nahodha wa Uingereza Harry Kane, 28, kutoka Tottenham. (ESPN)
Salaam 🖐️Salam kwenu wote