KAA: Ubongo wake upo shingoni, mfumo wake wa neva upo tumboni, meno yapo kwenye utumbo, figo zipo kwenye kichwa. Anasikia kupitia miguu, anatambua ladha kupitia miguu na wanapenda kutumia mguu mmoja kama binadamu, kuna ambao wanatumia mguu wa kulia zaidi na wengine kushoto.