Edinson Cavani anaweza kuwa silaha ya siri ya Manchester United katika kusaini mkataba na mshambuliaji mwenzake wa Uruguay Darwin Nunez kutoka Benfica msimu huu, huku mshabuliaji Cavani, 35, akiwapatia mashetani wekundu sifa nzuri za mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22. (90 Min)