Kiungo wa safu ya kushoto-nyuma wa Besiktas , Ridvan Yilmaz, mwenye umri wa miaka 20, anaweza kuunganishwa na mchezaji mwenzake katika timu ya kimataifa ya Ururuki Caglar Soyuncu katika Leicester, huku mbweha wakiandaa dau la pauni milioni 8.3 (10m euros) kuweza kuzipiku Torino na Stuttgart ambazo pia zinammendea. (TGRT Haber - in Turkish)