Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Furaha ni moja ya suala muhimu sana kwa kila mwanadamu hapa duniani na ni wazi kwamba baadhi ya watu wamekuwa wakiishi siku zote pasipo kuwa na furaha ndani ya kipindi cha muda mrefu.
Niliziona kule nyumbani kwako nilicheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂akina ngosha wana mbwembweNiliziona kule nyumbani kwako nilicheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao jamaa wameifanya Tanzania itabasamu muda wote kwa mambo yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akina ngosha wana mbwembwe
😂😂😂😂😂😂😂Hao jamaa wameifanya Tanzania itabasamu muda wote kwa mambo yao [emoji23][emoji23][emoji23]
AmenMwenyezi Mungu atupe afya na uzima 🙏 🤲