antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Mafanikio ni kuweza kwenda kulala kila usiku na roho yako kwa amani.
Paulo Coelho
Paulo Coelho
SawasawaSiku zote simamia kwenye ukweli na uadilifu
Tunafahamu kwamba, wengi wetu hatupendi kudanganywa na wala sina uhakika endapo wewe unapenda kudanganywa, hivyo kama wewe hupendi kufanyiwa hivyo basi na wewe usifanye kwa wengine.
Kweli kabisa..Wengi wetu kuna wakati huwa tunajikuta tukikabiliwa na mambo magumu ambayo mara nyingine hupelekea hata kukata tamaa kabisa katika maisha yetu, hivyo kujikuta tukiishi pasipo kuwa na furaha kabisa
Kweli..Hata usiku wenye giza zaidi utaisha na jua litachomoza.
Victor Hugo