Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa na tabia ya kujiuliza maswali pia hukupa majibu yanayokusaidia katika kujitathimini kisha kufanya maamuzi
 
Lakini kila kitu alichokiumba Mungu na kumuwekea binadamu kinafaida kubwa ya wazi na iliyojificha ...wewe unaweza kuona ni kucha tu au ni nywele tu lakini Mungu hakuviweka hivyo kwa bahati mbaya
 
Ulishawahi kujua kuwa NYUSI zipo hapo zilipo zikifanya kazi ya ulinzi katika mwili wako?? Ndioo ukiachana kuona kuwa nyusi ni ila nyusi zipo hapo kwa faida nyingi nazo ni hizi
 
KUCHA kucha hazipo hapo kama pambo bali Mungu ameziweka kwa mpango maalum ambao wengi wao hatuujui... Faida ya kucha kwenye mwili wa binadamu ni kama ifuatavyo
 
kucha husaidia kuonyesha afya ya binadamu ipoje yaan kuna baadhi ya Magonjwa dalili zake hujitokeza sehemu mbalimbali katika mwili wa binadamu ikiwemo kwenye kucha... Mfano wa Ugonjwa huo ni UKOSEFU WA KINGA MWILINI, pia ugonjwa wa ini, mapafu na hata moyo
 
je unajua kucha husaidia hata utendaji kazi wa miguu na mikono?? Hebu vikutanishe vidole viwili kisha visukumani kwa upande wa juu wa... Je umeona nin?? Bila shaka umeona kucha inavyofanya kazi yake kama ukuta wa kidole si ndio??
 
Ugonjwa huu ulianza katika Mji wa Wuhan nchini China mwishoni mwa mwezi wa 12 mwaka 2019 umepelekea vifo vya zaidi ya watu 3800 wamekufa kwa vurusi hivi vya COVID-19, huku zaidi ya watu 10900 wakiwa wameathirika na ugonjwa huu
 
Hebu vuta taswira kwa wakati huo unakadiriwa idadi ya watu duniani ilikuwa ni Million 450 kisha ndani ya miaka 4 ugonjwa ukaua watu million 75 (kwa makisio madogo)Inasemekana nusu ya watu wa ulaya walikufa kwa ugonjwa huu
 
Inasemekana kuwa uliokuwa mji mkuu wa himaya ya Roma kwa wakati huo Constantinople kila siku walikufa watu 5000 na asilimia 40 ya idadi ya watu waliokuwa wanaishi katika mji huo walifariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…